Featured

    Featured Posts

RAIS MUSEVENI ASEMA UGANDA KUATA NYAYO ZA TANZANIA KUINGIA UCHUMI WA KATI


Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa salamu wakati a sherehe za kuapishwa kwa Rais Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma Novemba 5, 2020.

"Natoa pongezi kwa Rais John Pombe Magufuli kushinda uchaguzi pamoja na watanzania wote kwa ushindi uliotawaliwa na amani. Naipongeza Tanzania kwa kutangazwa kuingia uchumi wa kati, na sisi Uganda tuko nyuma yenu."

"Uwakilishi huu tunaouona hapa leo kutoka nchi mbalimbali ni matunda ya msimamo thabiti wa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na viongozi wachache wa Afrika ambao hawakukubali kuwa vibaraka wa mataifa ya nje."


Rais Museveni akiondoka


Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana