Featured

    Featured Posts

MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU 7 WANOGESHA SHEREHE ZA KUAPISHWA DK MAGUFULI

Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya akisindikizwakwenda kupanda gari baada ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dk. John Magufuli kuwa Raiwa Jamhuri ya Muungano kwa muhula wa pili wa miaka mitano Uwanja wa Jamhuri, jijii Dodoma Novemba 5, 2020. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Waziri Mkuu mstaafu John Samweli Malecela akiaana na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Waziri Mkuu mstafu, Frederick Sumaye akiagana na viongozi wa Ulinzi na Usalama baada ya kuhudhuria sherehe hizo.

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akienda kupanda gari baada ya kuhuduria shrehe hizo muhimu.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana viongozi wa Ulinzi na Usalama baada ya kuhudhuria sherehe hizo.

 Wairi Mkuu aliyestaafu jana, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama  mara baada ya sherehe hizo kumalizika.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana