Featured

    Featured Posts

MARAIS WASTAAFU MWINYI, KIKWETE WALIYOHUDHURIA KUAPISHWA KWA DK MAGUFULI

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi akiagana na wakuu wa vyombo vya Uinzi na Usalama baada ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dk. John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania kipindi cha pili mjini Dodoma Novemba 5, 2020. Mwinyi aliongoza mwaka 1985-1995.PICHA ZOTE NA RICHARD MAIKENDA
Mwniyi akiondok baada ya kuhudhuria
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo alipokuwa akiondoka baada ya kushiriki kwenye sherehe za kuapishwa kwa mara ya pili Dk. John Magufuli kuwa Rai s wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kikwete aliongoza Tanzania kuanzi mwaka 2005-2015. 
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Generali Mabeyo.

 Kikwete akiondoka uwanjani baada ya kuhudhuria sherehe hizo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana