Featured

    Featured Posts

WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI WAKAGUA ATAKAPOAPISHWA RAIS DK MAGUFULI DODOMA

 

Viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania, wakijadiliana jambo walipofika kukagua maandalizi ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athuman, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana