Shirika la Kifaransa linalosimamia meli hiyo la SOS Mediterranee limesema leo kati ya manusura hao, kuna watoto 56 wakiwemo 21 ambao ni watoto wachanga.
Kuna pia watoto 131 ambao hawajaambatana na mtu. Kabla ya kuwaokoa hao, meli hiyo ya misaada ya Ocean Viking tayari ilikuwa na watu 106 jana jioni.
Post a Comment