RAIS DK. MAGUFULI ATETA NA WATOTO BAADA YA KUHUTUBIA WANANACHI WA MANYONI MJINI MKOANI SINGIDA, LEO
"Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao": Rais Dk. John Magufuli, akiteta jambo na watoto, baada ya kuwahutubia wananchi wa Manyoni mjini mkoani Singida, alikosimama akiwa safarini kutoka Tabora kwenda mkoani Dodoma, leo.
Post a Comment