Featured

    Featured Posts

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI ZIARANI MKOA WA KUSINI UNGUJA, LEO


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua pamoja na Wazee wa Kijiji cha Mzuri Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja wakiomuombea dua Marehemu Mzee Hasnu Makame,ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Kusini Unguja Sheikh Ali Sharifu, wakati wa ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo.30-1-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiiza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi, walipofika kutembelea Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Kusini Unguja lililoungua moto hivi karibu, akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo.30-1-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi na mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiondoka katika viwanja vya Ofisi ya CCM Wilaya ya Kusini Makunduchi ilioungua moto hivi karibuni. Wapili kushoto ni  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki dua ya kumuombea Rais Mstaaf wa Awamu ya Nne Marehemu Mzee Idrisa Abdulwakil, alipofika kulizuru kaburi la Marehemu Kijiji kwao Makunduchi akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana