RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Dk. Aboud Suleiman Jumbe (Kulia) na Mwakilishi wa Kampuni ya Tangen & Intertorco Group Michael Angaga, wakitia saini ya Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Unguja na Mkoani Pemba, katika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.(Picha na Ikulu, Zanzibar)
RAIS DK. MWINYI ASHUDHUDIA UTIAJI WA SAINI MKATABA WA MRADI WA UFUAJI WA GESI NA BANDARI YA UVUVI MPIGA DURI, UNGUJA NA MKOANI, PEMBA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tangen Allan Kesseler na Katibu Mkuu Wizara Maji Nishati na Madini wa Zanzibar Dk. Mngereza Mzee Miraji wakitia saini Mkataba wa Mradi wa Ufuaji wa Umeme wa Gesi, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, leo.
Post a Comment