Featured

    Featured Posts

KATIBU MKUU AFISI YA RAIS KAZI UCHUMI NA UWEKEZAJI AKABIDHIWA OFISI NA LAIYEKUWA KATIBU MKUU WA OFISI YA RAIS IKULU ZANZIBAR

KATIBU Mkuu Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Ndg.Mussa Haji Ali (kulia) akikabidhiwa Vitendea Kazi vya Ofisi yake wakati wa makabidhiano ya Ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Ndg. Salum Maulid Salum (kushoto) hafla hiyo imefanyika katika Afisi ya Katibu Mkuu Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu, Zanzibar)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana