Featured

    Featured Posts

BALOZI MBAROUK ALIVYOAPA KUWA MBUNGE, NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE

Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu, Chamwino Dodoma.


Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akila kiapo cha utii cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge, Job Ndugai  bungeni Dodoma Aprili Mosi, 2021. Kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai. Balozi Mbarouk ameteuliwa na Rais Samia kuwa Mbunge.  PICHA NA RICHARD MWAIKENDA



Balozi Mbarouk akia ameketi bungeni baada ya kuapishwa.
Akikabidhiwa zana za kazi na Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.
Familia yake Balozi Mbarouk ikiwa bungeni Dodoma kushuhudia akila kiapo cha utiifu cha ubunge.
Balozi Mbarouk akiwa na familia yake baada ya kuapishwa bungeni.
Familia yake Balozi Mbarouk ikijumuika na watu wengine kushuhudia hafla ya uapishaji Ikulu Chamwino.
Balozi Mbarouk akiondoka jukwaa kuu baada ya kuapishwa na Rais kushika wadhifa huo.


 Balozi Mbarouk akiwa na familia yake baada ya kuapishwa Ikulu, Chamwino.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana