Featured

    Featured Posts

BARAZA LA WAISLAM TANZANIA (BAKWATA) LAFANYA UTEUZI WA VIONGOZI WAKE WAANDAMIZI WAKIWEMO MASHEIKH WA MIKOA


Na Mwandishi Maalum

Baraza la Waislam Tanzania (BAKWATA) limefanya uteuzi wa Masheikh  wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa Makadhi na Makatibu wa Mabaraza ya Masheikh wa mikoa.


Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Msemaji wa Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania , Sheikh Khamisi Mataka amesema uteuzi huo umefanywa na Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha jana Aprili 4, 2021 kilichofanyika jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana.


Sheikh Mataka ambaye aliambatana na Katibu Mkuu wa BAKWATA Alhaj Nuhi Mruma na Katibu wa Mufti sheikh Mussa Hemedi alisema, Masheikh wa mikoa wameteuliwa  kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya  63(6) ni  ni wafuatao; 


01.  DAR ES  SALAAM - ALHAD MUSA SALIM 

02.  ARUSHA - SHABANI JUMA

03.  KILIMANJARO - MLEWA SHABANI KIMWAGA 

04.  DODOMA - MUSTAFA RAJABU

05.  LINDI - MOHAMMED SAID  MUSHANGANI 

06.  MANYARA - MOHAMMED KADIDI 

07.  MARA - MSABAHA KASIM NGABO 

08.  GEITA - ALHAD YUSUPH KABAJU 

09.  MTWARA - NURDIN MANGOCHI

10.  SINGIDA - SHEIKH SALUM .M.  MAHAMI

11.  TANGA - ALI JUMA LUWUCHU 

12.  KAGERA - HARUNA KICHWABUTA 

13.  RUKWA - RASHID AKILIMALI

14. TABORA - IBRAHIMU MAVUMBI

15.  NJOMBE - RAJABU MSIGWA 

16.  SIMIYU  - MAHMOUD KALOKOLA 

17.  SHINYANGA - ISMAIL HABIBU MAKUSANYA 

18.  SONGWE - HUSSEIN BATUZA

19.  PWANI - ABBAS KHAMIS MTUPA


Wengine ambao wao waliteuliwa hivi karibuni ni

20. MWANZA - SHEIKH MUSSA  HASSAN MUSSA KABEKE

21.  KATAVI - SHEIKH MASHAKA NASSORO KALULUKULU 


Msemaji huyo wa Mufti amesema katika kikao hicho Baraza la Ulamaa limewakaimisha Masheikh wapya wa Mikoa mitatu ambao ni:- 

22. RUVUMA - ALLY MAHABA 

23. MBEYA - MSAFIRI AYASI NJALAMBAHA 

24. IRINGA  -  SHEIKH SAID AL ABRI   


Pia amesema wafuatao wataendelea kukaimu nafasi zao mpaka pale Baraza la Ulamaa litakapofanya uteuzi rasmi kwa Mikoa hiyo. 


25. MOROGORO - SHEIKH TWAHA KILANGO na

26. SHEIKH IDDI HASSAN KIBURWA 


MAKATIBU WA  MABARAZA YA MASHEIKH

Msemaji huyo wa mufti amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake hicho cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa  Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(7) limefanya uteuzi wa Makatibu wa Baraza la Masheikh la Mikoa kama ifuatavyo:- 


1. ARUSHA : SAID ABDALLAH CHUDI 

2.  KILIMANJARO  : TAQDIR HAJJ MUHAMMED DHAHABU 

3.  DAR ES SALAAM. : ALLY SAID KIZEGERO 

4.  DODOMA. :  BUNIAMINI ABASI ABDURABI 

5.  NJOMBE :  USTADH. SAAD ALLY  

6. MOROGORO : AJALI AHMED MLENGA 

7.  MWANZA : ALHAJI OTHMAN MASASI 

8.  LINDI :   

9.  MANYARA  UST. MWINYI MASOUD RASHID

10. MARA : SALUM MOHAMED NYISUKA 

11.  GEITA  : BAHARAN RAMADHANI SALUM

12. MTWARA : ABDULHAFIDH KASSIM 

13. MBEYA  : ABASI MSHAURI 

14. SINGIDA : SHEIKH OMARY ABUBAKAR ALLY 

15.  TANGA : USTADH JUMA BAKARI 

16.  KAGERA : NAJIM MUSTAFA  KHALID 

17. KIGOMA : ALHAJI MAULID SANGI 

18.  IRINGA. : ABDULRAHIM NGOLE 

 19.  PWANI  : USTADH SALMIN AMMAR BUDAP

 20.  RUKWA : UST. MBEGU ABDALLAH HANGOLWA 

21.  SHINYANGA : 

22.  SIMIYU  : HUSSEIN AHAMADI MBARUKU 

23.  KATAVI : SHEIKH MUSSA KHAMISI KAZIGE 

24.  TABORA  : SHEIKH JABU SAID 

25. RUVUMA : 

26.  SONGWE : SHEIKH ALLY MAMBEA 


MAKADHI

Wakati huohuo Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 84(13) amefanya uteuzi wa Makatibu wa Makadhi wa Mikoa kama ifuatavyo:- 

1.  ARUSHA  : SHEIKH RAJABU HASSAN KIUNGIZA

2.  KILIMANJARO  : SHEIKH HUSSEIN HAMISI CHIFUPA 

3.  DAR ES SALAAM : RAMADHANI SALUMU OMAR KITOGO 

4.  DODOMA.  :  SHEIKH KISUSU BIN MKUMBO  MWAGONDA 

5.  MOROGORO  : SHEIKH MUSA HARUNA BORINGO. 

6.  MWANZA : SHEIKH HAMISI ALMASI 

7.  MANYARA : SHEIKH JUMA ISERE

8.  MARA  : SHEIKH JUMA ADAMU 

9.  GEITA  : SHEIKH ELIYASA SAID 

10.  MTWARA  : SEIKH ABALLAH ALI HEMED

11.  MBEYA : SHEIKH HASSAN MBARAZI 

12.  SINGIDA : SHEIKH SHABANI CHAMBILA MKANGA 

13.  KAGERA : SHEIKH MAULANA MBARAKA JUMA

14.  KIGOMA  : SHEIKH IDRISA ABDULMUHSIN KITUMBA 

15. IRINGA.  : SHEIKH ABUBAKAR CHALAMILA 

16.  PWANI : SHEIKH ZUBEIR RASHID

17.  RUKWA : SHEIKH KHAMISI ISSA KIGEZI 

18. TABORA :  SHEIKH IBRAHIMU HAJI

19.  KATAVI  :  SHEIKH MAJALIWA MRISHO

20.  NJOMBE  :  SHEIKH ABDALLAH SWALEHE ABDALLAH

21.  SIMIYU  : SHEIKH ISSA KWEZI KIDAI 

22.  SONGWE  :  SHEIKH IDD KASSIM


Taarifa hiyo imesema Mikoa Minne (4) iliyobakia uteuzi wake utafuatia baadae.


MAKATIBU WA MAKADHI WA MIKOA

Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 84 (13) amefanya uteuzi wa Makatibu wa Makadhi wa Mikoa kama ifuatavyo:- 

1. ARUSHA :  SHEIKH MBARAKA MUSA MTONYI 

2. KILIMANJARO  : USTADH ISSA JUMA ISSA.

3. DAR ES SALAAM  : SHEIKH ABDULKARIM PAZI. 

4. DODOMA.  :  MOHAMED SENDORO 

5. MOROGORO   : USTADH SWALEHE KASIM LUKANDA 

6. MWANZA  : USTADH RAMADHANI KHAMISI 

7. MANYARA   : USTADH ADAM ISSA ZUBEIR. 

8. MARA  : KUDRA IBRAHIM MIGOZI 

9. GEITA  : HAMISI MRISHO MLEA 

10. MTWARA   : MUSSA HAMISI MWARABU 

11. MBEYA  : ALLY KHAMIS FURUKUTU 

12. SINGIDA  : BDALLAH TAKAZA 

13. KAGERA  MIKIDADI ABASI BANOBI 

14. KIGOMA  : MAJALIWA AHMAD KAGAMA

15. IRINGA.  : USTADH ABDALLAH KHALID 

16. RUKWA   : USTADH ABDALLAH HASAN KATALANGO 

17. TABORA.  : ATHUMANI BAKAR KABOGOTA 

18. KATAVI  : SHEIKH OMAR SHABANI KABWIRI 

19. NJOMBE  :  IDD AMANI GADAU 

20. SIMIYU  : KASSIM RAJABU MOHAMED 

21. SONGWE  : HUSSEIN JUMA 

22. TANGA   : USTADH ALLY SALEH

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana