Mbunge wa Arumeru Mashariki, Dkt John Pallangyo ameibana serikali bungeni kuhusu ujenzi wa zahanati katika jimbo hilo, ambapo Naibu Waziri wa TAMISEMI, David Silinde amekubali kwenda jimboni humo kuangalia hali halisi ya sekta ya afya na kuipatia ufumbuzi.
Dkt Pallangyo aliuliza swali hilo katika Mkutano wa Tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa kipindi cha maswali na majibu.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Pallangyo akiwapambania wananchi wa jimbo lake kuhakikisha ujenzi wa zahanati unakamilika na kupata huduma za afya...... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment