Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga ameitaka Serikali kutimiza ahadi ya Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete na Rais wa Sasa Samia Suluhu Hassan ya ujenzi wa kwa kiwango cha lami barababara mbalimbali katika jimbo hilo.
Mbunge Kapinga alikumbushia ahadi hizo zilizotolewa kwa nyakati tofauti na marais hao, alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya Ujenzi na Uchukuzi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma hivi karibuni.
Mdau, pamoja na mambo mengine aliyochangia, nakuomba uendelee kuzikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge huyo akiwapambania wananchi wa jimbo lake......
I
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment