Featured

    Featured Posts

BAJETI WIZARA YA MALIASILI NA MALIASILI YAHITIMISHWA, ASKARI WANYAMAPORI 12 WAMEKUFA, 60 WATIMULIWA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amehitimisha majadala wa Bajeti ya Wizara hiyo ambapo akijibu baadhi ya hoja za wabunge amesema kuwa Askari Wanyamapori 12 wamepoteza maisha katika mapambano dhidi ya wananchi, Askari 60 wametimuliwa kazi kwa kukiuka sheria na 40 wamesimamishwa kazi. Mdau nakuomba uendelee kusikiliaza, Waziri Dkt Ndumbaro akizungumza wakati wa kuhitimisha mjadala huo.... Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana