Featured

    Featured Posts

NEEMA MWANDABILA SERIKALI IKOMESHE TABIA YA ASKARI WANYAMA PORI WANAOWANYANYASA WAVUVI SONGWE+video

 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kutafuta suluhisho la wavuvi wanaonyanyaswa na Askari Wanyamapori kwa kuwaomba rushwa, kuwanyang'anya mali zao kama vile samaki, nyavu pamoja na kuchoma samaki zao wanapokamatwa wakivua samaki katika Hifadhi ya Katavi. 
 
 Neema Mwandabila alitoa malalamiko hayo alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii Juni 4, 2021 katik Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma.

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana