Kihongosi anachukua nafasi ya Raymond Mwangwala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro.
Uteuzi huo umetangazwa mbele ya vyombo vya habari na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Shaka Hamdu Shaka katika Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma mara baada ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete kumalizika.
Post a Comment