Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AENDA NCHINI MSUMBIJI, LEO KUHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA NCHI ZA SADC UTAKAOFANYIKA KESHO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango (Kulia), katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 22,2021, alipokua akiondoka Nchini kwenda nchini Msumbiji  kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya SADC unaotarajiwa kuanza kesho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwapungia mkono Viongozi mbalimbali wa Serikali kuwaaga akiwa yupo kwenye Ndege, katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 22,2021, alipokua akiondoka kwenda nchini kwenda Msumbiji  kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya SADC unaotarajiwa kuanza kesho.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana