Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Dennis Londo ameihoji Serikali bungeni kuwa ni lini upanuzi wa Kiwanda cha sukari cha llovo utakamilika na kwa kiasi gani upanuzi huo utaenda sambamba na kuondoa kero ya mizani na vipimo vya sucrose kwa wakulima wa miwa?
Londo amehoji katika mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha 46 bungeni Dodoma Juni 7, 2021.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Londo akiwapambania wakulima wa miwa ....
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment