Featured

    Featured Posts

MBUNGE MWAKIBETE AIOMBA SERIKALI KUPELEKA UMEME WA REA VITONGOJI VYOTE BUSOKELO

Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete akichangia mjadala wa Bajeti wa Wizara ya Nishati 2021-2022 bungeni Dodoma leo Juni 2, 2021, ameipongeza wizar ya Nisati kusambaza umeme kw takribani kata zote jimboni humo, ameiomba serikali kuweka mkakati maalumu wa kusambaza umeme huo katika vitongoji  vyote vilivyosalia jimboni humo.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana