Mbunge wa Njombe, Deodatus Mwanyika amehoji bungeni ni lini Ujenzi wa Uwanja wa Ndege utajengwa Njombe Mjini?
Ameuliza swali hilo kwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi katika Mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi cha Maswali na majibu ambapo alijibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Mwanyika akipambania ujenzi wa uwanja wa Ndege Njombe Mjini....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Mkuu Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment