Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Shally Raymond akichangia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuishauri serikali kuboresha barabara zilizopo kwenye hifadhi za Taifa ukiweo Mlima Kilimanjaro ili kuinua pato la Taifa kupitia Utalii.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Shally akitoa mchangao wake huo....
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment