|
Mchezaji wa Tibu ya Bunge, Halima Mdee akiudaka mpira tayari kutoa pasi wakati wa mechi ya kirafiki ya mpira wa pete dhidi ya Timu ya Hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Juni 5,2021. Bunge ilishinda 25-16.
|
Wabunge (waliovaa sketi nyeupe) wakichuana vikali na wauguzi wa Hospitali Ya Benjamini Mkapa katika mchezo wa kirafiki wa mpira wa pete kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Juni 5,2021. Timu ya Bunge iliibagaza Benjamin Mkapa 25-16. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment