Washiriki wakipata maelezo jinsi ya kuitengeneza pamoja na kuitumia Bendera ya TGGA.
Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Anna Maembe akizungumza alipokuwa akifungua kambi ya mafunzo kwa viongozi wa TGGA, Kulia kwake ni Kamishna Mkuu wa TGGA,Symphorosa Hangi na Mwenzekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa Martha Qorro.
Mgeni rasmi katika ufunguzi huo, Anna Maembe (kulia) Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi (katikati) na Mwenzekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa Martha Qorro wakifurahia jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.
Kamishna Mkuu wa TGGA,Symphorosa Hangi akiwasalimia viongozi na wageni waalikwa wakati wa ufunguzi wa kambi hiyo ya mafunzo..
Washiriki wakipiga makofi baada ya kufurahishwa na hotuba ya mgeni rasmi, Anna Maembe.
Washiriki wakiwa katika mafunzo kwa vikundi
Mratibu wa Programu za TGGA, Valentina Gonza akiongoza mafunzo wakati wa kambi hiyo.
Baadhi ya viongozi wakitambulishwa
Mwenyekiti wa Vijana wa TGGA, Tanga, Valentina Mohindo akisoma risala kuhusu mafunzo hayo.
Mmoja wa viongozi wa TGGA kutoka Zanzibar akiburudisha washiriki kwa kuimba utenzi.
Skauti wakipita kujitambulisha.
Kamishna wa Skauti Wilaya ya Moshi, Emernsiana Mbeno akitoa nasaha wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.
Mgeni rasmi Anna Maembe akizawadiwa kikombe cha kumbukumbu
Mgeni rasmi akizawadiwa saa
Mgeni rasmi akiwa katika picha za pamoja na viongozi mbalimbali wa TGGA na wageni waalikwa
Kamishna wa TGGA Bagamoyo, ambaye pia ni mshereheshaji wa Kambi hiyo, MC Mamyto, Martha Mshiu (Kushoto) akiwa na Kamishna Mkuu,Symphorosa Hangi (kulia) pamoja na mgeni rasmi, Anna Maembe.
Kamishna msaidiyi Mkuu wa TGGA, Sara Milunga (katikati) akiwa na Kamishna Mkuu, Symphorosa (kulia) pamoja na mgeni rasmi, Anna Maembe.PICHA YOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/kuona kupitia clip hii ya video Mgeni rasmi Anna Maembe akihutubia baada ya kusikiliza risara viongozi wa TGGA wakati wa ufunguzi wa kambi hiyo.....
Imeandaliwa na Richard MwaikendaMhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment