Featured

    Featured Posts

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA RELI YA SGR

 


Muonekano wa  jengo la Stesheni ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Dar es salaam ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Septemba 12, 2021. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu) 

Munonekano wa reli ya kisasa (SGR) katika karakana kuu Iinayojengwa katika eneo la Kwala mkoani Pwani ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake Septemba 12, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mkono kuwaaga wafanyakazi wa Kampuni ya Yapi Merkezi baada ya kumaliza kukagua ujenzi wa karakana  kuu ya Reli ya Kisasa  (SGR) kwenye eneo la Kwala mkoani Pwani, Septemba 12, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa  Pwani, Abubakar Kunenge . (Piacha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu  ujenzi wa karakana kuu ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) , Masanja Kadogosa  (kushoto) wakati alipokagua ujenzi wa  karakana hiyo kwenye eneo la Kwala mkoani Pwani, Septemba 12, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa  akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika  la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa (kushoto) wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR katika Stesheni Kuu ya Dar es salaam, Septemba 12, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya treni maalum ya wahandisi wa kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa (SGR) wakati alipokagua ujenzi wa reli hiyo kutoka Dar es salaam hadi Kilosa mkoani Morogoro, Septemba 12, 2021.  Katikati ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Leonard Chamriho na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shrika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa. (Pcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana