Victoria Mushi akifafanua jambo wakati wa mafunzo hayo. |
Mshauri wa Mambo ya Sheria wa TGGA, Maria Richard akifafanua jambo wakati wa mafunzo hayo. |
Baadhi ya viongozi wakifanya mazoezi kupitia michezo mbalimbali
Mkufunzi kutoka Uganda, Rita Kihembo akitoa mafunzo ya Ujasirimali kwa viongozi hao.
Viongozi wakisikiliza kwa makini wakati Mkufunzi Rita Kihembo kutoka Uganda akiendesha mafunzo ya Ujasiriamali.
Mwenyekiti wa Vijana wa TGGA Mkoa wa Arusha, Niceta Mgaya akijitambulisha alipokuwa akihamasisha wakati wa mafunzo hayo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Victoria Mushi alielezea umuhimu wa kuandaa Mpango kazi na Ripoti sahihi, lakini pia uwasikilize viongozi waliohudhuria somo hilo wakielezea furaha yao kupata mafunzo hayo na jinsi watakavyokwenda kuyafanyia kazi watakaporejea vituoni kwao....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment