Featured

    Featured Posts

KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA HALMASHAURI KUUYA TAIFA YA CCM CHAFANYIKA LEO, IKULU MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais Samia Suluhu Hassan, akilakiwa na wajumbe baada ya kuwasili ukumbini kuongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo. (Picha na Ikulu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana