Kaimu Mkurugenzi wa Urasimishaji Ardhi na Biashara wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Jane Lyimo akielezea mikakati na mafanikio ya MKURABITA katika kurasimisha Ardhi na Biashara za wanyonge nchini, wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Viongozi Kitaifa wa Chama cha Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Septemba 27-28,2021.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia kwenye clip hii ya video hapa chini, ujue alichozungumza kuhusu utendaji wa MKURABITA katika mkutano huo ulihudhuriwa na wakurugenzi wa Halmashauri na Manispaa, wenyeviti na mameya wa Halmashauri pamoja na baadhi ya wabunge....
Post a Comment