MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AWASILI SINGAPORE, LEO

Makamu wa Rais wa JamhuriyaMuunganowa Tanzania Dk. Philip Mpango akizungumza na Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore Teo Sieng Seng baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Changi Nchini Singapore, leo Novemba 15, 2021, kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ) unaoanza leo nchini humo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Post a Comment