Waziri wa Maji, Juma Aweso akizungumza wakati wa hafla utiaji saini mikataba kati ya Ruwasa na makandarasi watakaojenga miradi mbalimbali ya maji nchini na kuwataka makandarasi kukamilisha kazi hizo kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa.
Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mijini na Vijijini (RUWASA), Clement Kivegalo akielezea jinsi miradi mbalimbali itakavyotekelezeka kwa usimamizi dhabiti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ukandarasi ya Emirates, Deogratius Marandu akitiliana saini mkataba na Mkurugenzi Mkuu wa Ruwasa, Mhandisi Clement Kivegalo huku wakishudiwa na mawaziri pamoja na baadhi ya wabunge.
Baadhi ya wabunge wakiwa katika hafla hiyo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Masache akietoa shukrani hizo....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment