Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (kulia) akimwapisha Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu kuwa Naibu Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Bungeni Jijini Dodoma akimkabidhi vitendea kazi Naibu Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azan Zungu mara baad ya kumuapisha Bungeni.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu baada ya Mbunge huyo kuapishwa kuwa Naibu Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu akiwashukuru wabunge baada ya kuapishwa bungeni jijini Dodoma, Februari 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment