Mbunge wa Mtwara Mjini, Hassan Mtenga amewatahadharisha wanasiasa wanaohamasisha jamii inayoishi Hifadhi ya Ngorongoro kukataa kuhama eneo hilo, waache kabisa tabia hiyo.
Aidha,mbunge huyo ametoa wito kwa wabunge kuungana kuisadia Serikali kuutatua kwa haki mgogoro wa Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.
Mtenga ametoa wito huo alipokuwa akitoa ushauri wake wakati wa semina ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu Hifadhi ya Ngorongoro Februari 12, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa, bungeni DodomaIMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment