Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dodoma, Fatma Toufiq ameiomba Serikali kujenga daraja la Godegode lililopo Mpwapwa ili kurahisisha mawasiliano ya usafiri wilayani humo.
Ombi hilo amelitoa wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Februari 14, 2022.Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment