Featured

    Featured Posts

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI YA WANANCHI WALIORIDHIA KUHAMA KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakijiji wa Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga baada ya kukagua ujenzi wa nyumba za makazi ya wananchi wanaoishi katika Hifadhi ya Ngorongoro walioridhia kuhamia katika makazi hayo mapya yanayojengwa na serikali kijijini hapo. Mheshimiwa Majaliwa alikagua ujenzi huo, Machi 13, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa  wa nyumba za makazi ya wananchi wanaoishi katika Hifadhi ya Ngorongoro walioridhia kuhamia katika nyumba zinazojengwa na serikali kwenye kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga  Machi 13, 2022.   Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi  wa nyumba za makazi ya mwananchi wanaoishi katika Hifadhi ya Ngorongoro walioridhia kuhamia katika  katika nyumba zinzojengwa na serikali kwenye  kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, Machi 13, 2022.  Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adama Malima
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima wakati alipokagua  ujenzi wa   nyumba za makazi ya wananchi wanaoishi katika Hifadhi ya Ngorongoro walioridhia kuhamia katika nyumba zinazojengwa na serikali kwenye kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga. , Machi 13, 2022.   Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana