Featured

    Featured Posts

MATUKIO MBALI MBALI YA RAIS SAMIA LEO IKULU MJINI ZANZIBAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa UN Women Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Dkt. Maxime Houinato alipofika Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 09 Machi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mke wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mama Fatma Karume alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja leo tarehe 09 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Sadala Mabodi na Familia yake, alipomtembelea nyumbani kwake Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja leo tarehe 09 Machi, 2022 kwa ajili ya kumfariji kutokana na kupotelewa na Mtoto wake  kwenye ajali ya Ndege.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Sadala Mabodi na Familia yake, alipomtembelea nyumbani kwake Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja leo tarehe 09 Machi, 2022 kwa ajili ya kumfariji kutokana na kupotelewa na Mtoto wake  kwenye ajali ya Ndege
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Familia ya Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Ahmed Nassor Mazrui alipowatembelea nyumbani kwao Mbweni Mkoa wa Mjini Magharibi  Unguja leo tarehe 09 Machi, 2022 kwa ajili ya kuwafariji kutokana na kupotelewa na Mtoto wao  kwenye ajali ya Ndege. (Picha, Maelezo na Ikulu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana