Featured

    Featured Posts

CCM Blog SASA INASOMWA NA WATU (VIEWERS) MILIONI 5

Blog ya Taifa ya CCM, imezidi kukomaa na hivyo kupata wadau wengi wanaoiperuzi kila kisiku na kila muda.


Bila shaka Blog hii inayomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeweza kujipatia wasomaji wengi ndani na nje ya Tanzania kutokana na kuandika habari zake kwa umahiri na umakini mkubwa na kwa wakati.


Hivyo tunayo furaha kukujulisha wewe ambaye ni mdau mkubwa kuwa Blog ya Taifa ya CCM (CCM Blog)  leo Jumatano, Machi 9, 2022, imefikisha wadau Milioni 5, ambao huiperuzi kila siku na kila wakati.


 Kwa kuwa nawe umekuwa miongoni mwa wadau hao tunakushukuru sana, na tunakuomba uendelee kujipatia kwa wakati habari za ukweli na uhakika za CCM, Serikali na za Kijamii, kupitia CCM Blog.


//Bashir Nkoromo, Msimamizi Mkuu wa CCM Blog


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana