Featured

    Featured Posts

MBUNGE MWANYIKA AKIPATIA KILA KIJIJI SARUJI 50, KATA 150 NJOMBE MJINI+video

Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika  (aliyevaa kofia ya CCM), akikabidhi mifuko ya saruji kwa viongozi wa vijiji na kata za jimbo hilo katika hafla iliyofanyika hivi karibuni mjini Njombe. Jumla ya mifuko 2850 ya saruji imetolewa ambapo Mfuko wa Jimbo mifuko 2125 na mbunge mifuko 725. Kila kijiji kitapata mifuko 50 na Kata mifuko 150.



Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Mbunge Deo Mwanyika akielezea kuhusu mgawanyo wa saruji hiyo...



 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana