Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Dkt, Alhad Mussa Salumu akihutubia wakati wa mkutano wa viongozi wa jumuiya hiyo wa mikoa ambao umefanyika leo Machi 31, 2022 katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma.
Amewaonya kuacha kuendekeza majungu na fitina bali wahahakikishe badala yake wanailetea maendeleo taasisi hiyo.
Lengo la mkutano huo ni kufahamiana, kuambiana mambo mbalimbali waliyoyafanya, viongozi wa jumuiya wa mikoa kufanikisha Mkutano Mkuu mwaka jana ambao uliwachagua viongozi wa kitaifa wa jumuiya hiyo, kupongezana wilaya za mikoa 28 kuunda jumuiya za maridhiano pamoja na kuombea amani nchi.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano, Askofu Dkt.Esrail Maasa akielezea lengo la mkutano huo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa Kamati Kuu, Askofu Dkt Evance Chande akitambulisha baadhi ya wajumbe wa mkutano huo.
Meneja Mahusiano NMB, Biashara na Huduma za Serikali Kanda ya Dar es Salaam, akielezea wa udhamini wa NMB katika mkutano huo na huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo.
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment