Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza katika kikao kazi na wakuu wa mikoa jijini Dodoma leo Machi 31, 2022, wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa operesheni anuani za makazi, amesema kuwa katika mikoa yote. hadi sasa zoezi hilo limefikia asilimia 67
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Innocent Bashungwa akitoa pongezi kwa wakuu wa mikoa na watendaji wengine waliofanikisha asilimia 67 Oparesheni Anuani za Makazi. Kushoto ni Mwenyekiti wa wakuu wa mikoa, John Mongela na kulia ni Waziri Nape.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa (aliyevaa tai) akiwa na maafisa wengine wa serikali wakisikiliza kwa makini wakati Waziri Nape akielezea kuhusu mafanikio ya oparesheni hiyo.
Baadhi ya wakuu wa mikoa wakiwa katika kikao kazi hicho.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau unaombwa uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Nape na Bashungwa pamoja na Mwenyekiti wa wakuu wa mikoa, John Mongela wakielezea kuhusu mafanikio ya Oparesheni hiyo ya Anuani za Makazi.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment