Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AKABIDHIWA TAARIFA YA KIKOSIKAZI CHA KURATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA HAPA NCHINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akipokea Taarifa ya Kikosikazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosikazi hicho Prof. Rwekaza Mukandala, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 21 Machi, 2022.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya Kikosikazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosikazi hicho Prof. Rwekaza Mukandala, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 21 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Kikosikazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Prof. Rwekaza Mukandala, Ikulu Jijini Dar es Salaam, baada ya  Taarifa ya Kikosikazi hicho, Ikulu Jijini Dar es Salaam,  leo tarehe 21 Machi, 2022. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na baadhi ya Wajumbe wa Kikosikazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, baada ya kupokea Taarifa yao Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 21 Machi, 2022. Jumla ya Wajumbe hao ni 24. (PICHA NA IKULU).
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana