Featured

    Featured Posts

WAZIRI BITEKO: MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA SEKTA YA MADINI IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA+video

Waziri wa Madini, Dotto Biteko (pichani) amesema kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan Sekta ya Madini imepiga hatua kubwa sana ikiwemo kuuzwa kwa madini ya aina mbalimbali yenye thamani ya sh. Trilioni 8.3. Waziri Biteko ameyasema hayo alipokuwa akitangaza mbele ya wanahabari leo Machi 10 ,2022 jijini Dodoma, kuhusu mafanikio ya Wizara ya Madini kwa mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia ambaye alishika madaraka Machi 19, 2021.
Baadhi ya waandishi wa habari na maofisa wa wizara ya madini wakiwa katika mkutano huo.


 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Biteko akielezea mafanikio hayo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana