Featured

    Featured Posts

ZAIDI YA WAHITIMU 200 BODI YA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI KURUDIA MITIHANI+video

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utaalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi ametangaza mbele ya wanahabari jijini Dodoma Machi 10, 2022, kuwa katika mtihani wa 23 wa bodi hiyo asilimia 65 ya watahiniwa wamefeli hivyo wengine watapaswa kurudia baadhi ya mitihani ambayo hawakufanya vizuri.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utaalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi (katikati) akitangaza mbele ya wanahabari jijini Dodoma Machi 10, 2022, kuwa katika mtihani wa 23 wa bodi hiyo asilimia 65 ya watahiniwa wamefeli hivyo wengine watapaswa kurudia baadhi ya mitihani ambayo hawakufanya vizuri. Kushoto ni Meneja Masoko na Uhusiano wa bodi hiyo, Shamim Mdee na Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo, AmaniNgonyani.

Wakipongezana na kuagana baada ya kumaliza kutangaza matokeo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, endelea kusikiliza kupitia clip hii ya video,  Mkurugenzi Mtendaji Mbanyi akitangaza matokeo hayo...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana