Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akizindua Mfumo wa Kielektroniki wa Tathmini ya Hali ya Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma jijini Dodoma Machi 24, 2022. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Tehama Serikalini,Priscus Kiwango
Waziri Mhagama akizungumza na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi wa mfumo huo katika ofisi za wizara hiyo katika Mji wa Kiserikali wa Mtumba jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Xavier Daud (kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Tehama Serikalini,Priscus Kiwango (katikati) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa wizara hiyo, Mary Mwakapenda wakiwa katika mkutano huo wa uzinduzi wa mfumo huo.Wanahabari wakifuatilia uzinduzi huo
Baadhi ya maafisa wa wizara hiyo wakiwa na baadhi ya waandishi wa habari.
Wanahabari wakiwa makini kufuatilia uzinduzi huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mhagama akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment