Featured

    Featured Posts

WAZIRI MKUU: WALIOKUBALI KUHAMA KWA HIARI NGORONGORO KUHAMISHWA PAMOJA NA MIFUGO YAO+video

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaambia wabunge kuwa katika utaratibu ulipangwa na Serikali waliokubali kuhama kwa hiari eneo la Hifadhi ya Ngorongoro watahamishwa wao, mali zao pamoja na mifugo yao kwa gharama ya serikali. Ametoa kauli hiyo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Dodoma leo Machi 11, 2022 baada ya kikao cha Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba kutoa taarifa ya Mapendekezo ya Mfumo wa Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023.
Wabunge wakisikiliza wakati Waziri Mkuu Majaliwa akiwatangazia utaratibu huo wa kuwahamisha walio kwenye Hifadhi ya Ngorongoro.






  Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Waziri Mkuu Majaliwa akielezea utaratibu huo wa kuwahamisha....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana