CHONGOLO AMTEMBELEA MTANZANIA ALIYEBUNI GARI INAYOTUMIA NGUVU ZA UMEME, NI ALI MASOUD 'KIPANYA'
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Mbunifu Ali Masoud ‘Kipanya’ (kulia) mara alipotembelea leo Karakana ya Kaypee Motors iliyopo eneo la Shirika la Viwanda Vidogo vidogo (SIDO) Vingunguti, jijini Dar es Salaam, kuona gari inayotumia nguvu za umeme, iliyobuniwa na mbunifu huyo, ambayo ni ya kwanza ya aina hiyo kubuniwa na Mtanzania.
Post a Comment