|
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Msumbiji hapa Nchini Balozi Ricardo Mtumbuida (kushoto) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Meja Jenerali Charles Kalamba, (kushoto) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Picha zote: Fahadi Siraji
|
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment