Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibofya ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa huduma mpya za kidijitali za Benki ya NMB ambazo ni NMB PESA WAKALA, NMB MSHIKO FASTA na LIPA MKONONI katikahafla iliyofanyika leo Aprili 11, 2022 jijini Dodoma. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu mpya, Ruth Zaipuna, Mwenyekiti wa Bodi ya NMB Dkt. Edwin Mhede na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Chande
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge,Jerry Silaa baada ya kuzindua huduma hizo. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka.
Huduma mpya zilizozinduliwa
Baadhi ya waendesha bodaboda na bajaji wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhio ya wafanyakazi wa NMB
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya NMB,Mwenyekiti wa Bodi ya NMB Dkt. Edwin Mhede (kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu mpya, Ruth Zaipuna
Post a Comment