FEDHA ZA UVIKO-19: MAJI YA BOMBA YA KUTOKA ZIWA VICTORIA kwenda kwenye Vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini
I - Vijiji vya KANDEREMA-BUGOJI- KABURABURA
*Maji ya Ziwa Victoria kutokea chanzo kilichojengwa Kijijini Suguti, Kata ya Suguti
*Thamani ya Mradi:
Tsh MILIONI 500,000,000 (Tsh 500m, Fedha za UVIKO-19)
Ujenzi wa Tenki la Lita 200,000 Mlimani Nyaberango - ujenzi unaendelea
II - Vijiji vya NYASAUNGU NA KURWAKI
*Chanzo cha maji kimejengwa Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango (Mradi wa Mugango-Kiabakari-Butiama)
*Thamani ya Mradi:
Tsh 300,000,000 (Tsh 300m, fedha za UVIKO-19)
MRADI KABAMBE WA BOMBA LA MAJI LA MUGANGO-KIABAKARI-BUTIAMA
*Uzalishaji wa maji wa awali ni LITA 17.5 MILIONI kwa siku na baadae uzalishaji utaongezwa uwe mara mbili na kufikia LITA 35 MILIONI kwa siku.
*Thamani ya Mradi
TSH BILIONI 70.5
Vijiji vya Musoma Vijijini:
Kata ya Mugango -
1. Kwibara
2. Nyang'oma
Kata ya Tegeruka -
3. Tegeruka
4. Mayani
5. Kataryo
*Maji ya bomba hili baadae yatasambazwa kwenye Kata za Busambara, Kiriba, Ifulifu na kwingineko
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
https://ift.tt/0UJHhfM
Post a Comment