Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro ameihoji serikali bungeni ni lini ujenzi itakamilisha ujenzi vituo vya polisi viliyojengwa na wananchi Nyamagona, Keza na Djululigwa ? Ndaisaba aliulizwa swali hilo bungeni Dodoma Aprili 8, 2022 wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo alijibiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini kuwa serikali itatafuta fedha ili kukamisha ujenzi wa vitua hivyo na kwa kuzingatia Ngara kuwa mpakani itapatiwa gari la doria kati ya magari 78 ya jeshi hilo yaliyoagizwa na kutarajiwa kuwasili nchini mwishoni mwa mwezi huu....
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge wa Ngara Ndaisaba akiihoji serikali kuhusu suala hilo huku akijiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Sagini...
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment