Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Suma Fyandomo Ikenda ameibana serikali kuwa ni lini Serikali itaanza ukarabati wa Barabara ya Igawa hadi Tunduma katika mikoa ya Mbeya na Songwe. Alihoji jambo hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 8, 2022 na kujibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Geofrey Kasekenya kuwa ukarabati huo mkubwa utaanza Julai mwaka huu...
Mdau endelea kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Ikenda na Spika ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt Tulia Ackson wakipambania ujenzi wa barabara hiyo.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment