Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Katja Keul, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo, Aprili 11, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha kumbukumbu na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Aprili 11, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Katja Keul baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo, Aprili 11, 2022.(Picha na Ikulu).
Post a Comment